

Sio Kitoto
Phina
- Do Salale (Live)
- Manu (Live)Phina (feat. Jay Melody)
- Rehab (Live)
- Sisi Ni Wale (Live)
- Upo Nyonyo (Live)
- Romeo & JuliethPhina (feat. Otile Brown)
- TiTiTi
- Si Unaniona
- Natamba Nae
- Mungu ibariki Afrika, Tanzania
- Wawili
- We Huogopi
- Yumba
- Zinduna
- Sponsor
- Smile
- Sisi Ni Wale (Choir)Phina (feat. Freshow Band)
- Sisi Ni Wale
- Bandama
- Do Salale
- ManuPhina (feat. Jay Melody)
- Rafiki
- Msichana Hodari
- Nikupende
- Wamerudiana
- Hayaa
- Upo Nyonyo (Acoustic Version)
- Upo Nyonyo
- Super WomanPhina (feat. Otile Brown)
- Sensa
- Sitaki Tena
- Sio Kitoto
- In Love
- Pekecha
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!
Pekecha Lyrics
Nikitaka mwendo kasi
Speed nikolezee babe
Kasito masaki nichombeze babe
Usipokuwepo nakuwaza sana wee,
Sijazoea kuishi bila wee
Siunajua minakupenda wee,
Usikatishe movie basi tuendelee
Mi kwako, kwako sichomoki
Moyo wangu umeupiga
Loki(aku siondoki}
Na wanaju-aa mii kwako
Kisiki sichomoki hata wakileta
Noti(aku siondokii)
Sio kitoto,kitoto
(kwako nimezama mazima)
Sio kitoto, kitoto
(jahazi limezama safina)
Sio kitoto, kitoto
(kwako nimezama mazima)
Sio kitoto, kitoto
(jahazi limezama safina)
Instruments
Kama ukichoka uwani
(hee), nipeleke sebuleni (wee)
Dereva bila miwani
(mmh), kafumaniwa ukweni
Huna-na-na see my dear, tujinafasi
Mwengine ni nani wakunipalia
Kama sio weeeeh
Ukinikazia stimu zote utazikata,
Mi nataka tuwe kama kijumbe na ukatu
Nipe kwa hisia taratibu navyokata,
Kushoto kulia kanyagia
My dear chapa chapa