Raha Tele
Jay Melody (feat. Aslay)
-
Sale SaleGeniusjini X66 (feat. Jay Melody) -
Far AwayGeniusjini X66 (feat. Jay Melody) -
ValentineGeniusjini X66 (feat. Jay Melody) -
WeweGeniusjini X66 (feat. Jay Melody) -
JuuGeniusjini X66 (feat. Jay Melody) -
Hawatoi -
I Don't Know -
NishalowaJay Melody (feat. Alikiba) -
Hujaona Bado -
My DearestJay Melody (feat. Jux) -
Kiguu na Njia -
Tila LilaJay Melody (feat. MwanaFA) -
Sina -
Mara Ya Kwanza -
Jirani -
Mtoto -
My Dearest (LoFi Version)Jay Melody (feat. Jux) -
Nazama -
Turudiane -
BadoJay Melody (feat. Marissa Tz, Benson Hauzimi) -
Forever -
Nahodha -
Wa Peke Yangu -
UsiniacheJay Melody (feat. Phina) -
Watu -
Unanimaliza -
Diamond -
18 -
Sielewi -
Sio Sawa -
Siyawezi -
Katika -
Superstar -
In Love -
Niwe -
Nitasema -
Mbali Nawe -
Baridi -
Na Iwe Kheri -
Sawa (Acoustic) -
Sawa -
Nakupenda -
Acha Wivu -
Huba Hulu -
Namwaga MbogaJay Melody (feat. Nandy) -
Sambaloketo -
Najieka -
Sugar (Remix)Jay Melody (feat. Marioo) -
Sugar (Acoustic Version) -
Sugar
Comments (0)
đ By commenting, you agree to follow these rules. Letâs keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!
Sugar Lyrics
[Intro]
Ah, aahh, ayayaya
[Verse : Jay Melody]
Mpaka raha, unavyoonesha maajab
Unanipa mapenzi huchaguisana, mtoto nikab
Madhara ukivifuata vibabu
Ukatae tembele uchague nyamaâ
uniekeâ
roho juu
Hatari sana
Mtotoâ
kulbaiya
Unavyonipa umoto
Hatari ukinibania
Unainjoi sana michezo yaâ
kukutania
Na chai tule ukoko
Usiku wali bamia
[Chorus : Jay Melody]
Mapenzi yetu mi na wewe
Rahaâtele,â(ayaya)
Rahaâtele, (ayayaya)
Raha tele,â(ayaya)
Raha tele
Mapenzi yetuâmi na wewe
Raha tele, na kisura
Raha tele, (ayaya)
Raha tele, (oh ooh)
Raha tele
Mapenzi yetu mi na wewe
(Ouuh)
[Verse : Aslay]
Nijuze
Nijuze kipi kinafanya unalia, (ooh)
Nieleze mama
Nieleze maana nshaanza kuchanganyikiwa
(Aah)
Ruksa kunifanya chambo
Wakikuzingua nikapambane
Nikulinde kama mgambo
Ili mashorobalo wasikuone
Koleza mama
Koleza nazi kwa mchele
Isambaga tuwaachie wenyewe
Koleza darlin
Koleza nazi kwa mchele
Isambaga tuwaachie wenyewe
[Chorus : Jay Melody]
Raha tele, (ayaya)
Raha tele, (ayayaya)
Raha tele, (ayaya)
Raha tele
Mapenzi yetu mi na wewe
Raha tele, na kisura
Raha tele, (ayaya)
Raha tele, (oh ooh)
Raha tele
Mapenzi yetu mi na wewe
Raha tele
[Outro : Jay Melody & Aslay]
Nasikia raha, raha tele
Nasikia furaha, raha tele
Kuwa na wewe, raha tele
Naona raha, raha tele
Oh babe mama, raha tele
Nakupenda sana, raha tele
Raha tele, raha tele
Raha telee