

Niroge
Vanessa Mdee
-
Moyo
-
Never Ever (Re-Imagined)
-
Never Ever
-
Niroge
-
That's For MeVanessa Mdee (feat. Distruction Boyz, Prince Bulo)
-
Intro
-
KiselaVanessa Mdee (feat. Mr. P)
-
Unfollow
-
Floating On A Wave
-
Don't You KnowVanessa Mdee (feat. Tahpha)
-
Afrikan Hustle (Interlude)
-
Pumzi Ya MwishoVanessa Mdee (feat. Cassper Nyovest)
-
WetVanessa Mdee (feat. G Nako)
-
Scratch My BackVanessa Mdee (feat. Radio & Weasel)
-
Shadee (Interlude)
-
Kwangu NjoVanessa Mdee (feat. Mohombi)
-
The Way You Are
-
BambinoVanessa Mdee (feat. Reekado Banks)
-
Nobody but MeVanessa Mdee (feat. K.O)
-
JuuVanessa Mdee (feat. Jux)
-
BadoVanessa Mdee (feat. Rayvanny)
-
BounceVanessa Mdee (feat. Maua Sama, Tommy Flava)
-
Come Over (The Refix)
-
Cash Madame
-
Cash Madame (French Version)
-
Come Over (Kenny Carpenter Extended Remix)
-
Come Over (Damon Grey Extended Remix)
-
Come Over (Nick Bertossi Columbia Remix)
-
Come Over (Frank Lamboy Vocal Remix)
-
Come Over (Trufo Deep Space Dub Mix)
-
Come Over (Frank Lamboy Drumapella Remix)
-
Come Over (Kenny Carpenter Radio Edit)
-
Come Over (Damon Grey Radio Edit)
-
Come Over
-
Hawajui
-
Closer (The Refix)Vanessa Mdee (feat. Godzilla and Lamar)
-
Closer
-
Far AwayDiamond Platnumz (feat. Vanessa Mdee)
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!
Far Away Lyrics
Raha ya nyumba mwanaume
Wacha nikutunze
Nyumba yetu tuipambe
Hapo nyuma tulishindiaga mabwende
Karanga na Makande
Nguru, Ugali dona sembe
Usinune kwa maneno ya majirani (wanoko)
Hawaishi (longo longo)
Vimaneno kama (viroboto)
Wanakesha wakiomba unichapege mkong’oto
Jamani sielewi, baby you are…
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Tabasamu usoni)
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Anatabasamu usoni)
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Sikusifii
We mwanaume nguzo,
Ulishindaga vikwazo
Tangu Mwanzo
Ulipambana na wenye nazo
Ili niwe mali yako
Leo, kula vyako
You’re my dream in my life
Hata mi moyoni we ndiyo unanifaa
Usinune kwa maneno ya majirani (wanoko)
Hawaishi (longo longo)
Vimaneno kama (viroboto)
Wanakesha wakiomba unichapege mkong’oto
Jamani sielewi, baby you are…
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Tabasamu usoni)
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Anatabasamu usoni)
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
To the left, to the right
(spending my life)
To the left, to the right
(spending my life)
To the left, to the right
(spending my life)
To the left
(Kwani mapenzi matamu)