Ndonga (Remix)
Jay Melody (feat. Nandy)
-
Sale SaleGeniusjini X66 (feat. Jay Melody) -
Far AwayGeniusjini X66 (feat. Jay Melody) -
ValentineGeniusjini X66 (feat. Jay Melody) -
WeweGeniusjini X66 (feat. Jay Melody) -
JuuGeniusjini X66 (feat. Jay Melody) -
Hawatoi -
I Don't Know -
NishalowaJay Melody (feat. Alikiba) -
Hujaona Bado -
My DearestJay Melody (feat. Jux) -
Kiguu na Njia -
Tila LilaJay Melody (feat. MwanaFA) -
Sina -
Mara Ya Kwanza -
Jirani -
Mtoto -
My Dearest (LoFi Version)Jay Melody (feat. Jux) -
Nazama -
Turudiane -
BadoJay Melody (feat. Marissa Tz, Benson Hauzimi) -
Forever -
Nahodha -
Wa Peke Yangu -
UsiniacheJay Melody (feat. Phina) -
Watu -
Unanimaliza -
Diamond -
18 -
Sielewi -
Sio Sawa -
Siyawezi -
Katika -
Superstar -
In Love -
Niwe -
Nitasema -
Mbali Nawe -
Baridi -
Na Iwe Kheri -
Sawa (Acoustic) -
Sawa -
Nakupenda -
Acha Wivu -
Huba Hulu -
Namwaga MbogaJay Melody (feat. Nandy) -
Sambaloketo -
Najieka -
Sugar (Remix)Jay Melody (feat. Marioo) -
Sugar (Acoustic Version) -
Sugar
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!
Sugar Lyrics
[Verse : Jay Melody]
Dua ilo katisha, eti mvua isiyeshe
Hiki kihali, kipite mbali tulia acha mapepe
Ana pepea mtima, hapa nangoja nideke
Kwambali zumari kombe la chai yani walete walete
Eti anacheza mkomboti wa chawidu
Na uno analikata yani mudogo mudogo
Macho legeza malaini kama mwidu
Najichezea karata nywele tozi la kikongo
[Chorus : Jay Melody]
Oh mimi sa napagawa changanya
Naumia ndonga
Oh oh oh anavyo nichanganyia uhondo
Naumia ndonga
Oh mimi hata sina lakufanya
Naumia ndonga
Oh oh oh anavyo nichanganyia uhondoh
Naumia ndonga
Badi badi badi
[Verse : Nandy]
Limziki sabufa
Fujo zote humu ndani
Nawapigia kelele
Mnisamehe majirani
Tumezibwa ukuta
Ndani raha rubudani
Naye ndo boss na leo yuko na mie chawa
Oh baby nifaye mchanganye mchanganye dullah
Au niwe kivurande nikupe za don masha churah
Oh baby nifaye mchanganye mchanganye dullah
Nalo penzi litutande wakati tunataka kula
[Chorus : Jay Melody & Nandy]
Oh baby sa napagawa changanywa
Naumia ndonga
Oh oh oh anavyo nizidishia uhondoh
Naumia ndonga
Oh baby hata sina lakufanya
Naumia ndonga
Oh oh oh anavyo nichanganyia uhondoh
Naumia ndonga
Badi badi badi
Mussa babaz wa babaz
Wa Mama jay baby