I Don't Care
Maua Sama
-
NampendaGeniusjini X66 (feat. Maua Sama) -
I Don't Care -
Miayo -
Nitampata WapiMaua Sama (feat. Jay Melody) -
Feelings -
Online -
Zamani -
Keep Quiet -
Cheat -
Kiss Me -
Mr. DJ -
Yamenizidi -
Pambe -
Shukurani -
Baba JeniMaua Sama (feat. Nay Wa Mitego) -
Baba Jeni -
AwayMaua Sama (feat. Young Lunya) -
Zai -
ChuchumaaMaua Sama (feat. Nyoshi El Saadat) -
Kan Dance -
Tomorrow -
Namwachia -
Never Ever -
Vimba -
Nimeridhia -
Niteke -
Let Them Know -
Sisikii -
Nakuelewa -
Main Chick -
Katu Katu -
Mahaba Niue -
BounceVanessa Mdee (feat. Maua Sama, Tommy Flava)
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!
Bounce Lyrics
[Verse]
Hivi ni kweli kweli
Haya ndio yale ulowaahidi
Ooh
Umenitapeli-peli
Na sina haja ya shahidi
We ndoo
[Verse]
Natamani ungekuwa wa moyoni
Na ndo vile ni ngumu
Oh ni ngumu
Naomba maziwa naumia
Mana we ndio umeninywesha hii sumu
Ooh sumu
[Pre-Chorus]
So
Unavyotaka nataka I don't care
Vile utavyokuja ndo ntavyokukopea
Mapenzi kamari mchezo wa pata potea
Makosa ufanye wewe mi ndo najitetea
[Chorus]
Mapenzi haya (Nainama)
Ooh (Nainuka)
Ooh (Nayanyoshea mikono)
Mapenzi haya (Nainama)
Ooh (Nainuka)
Ooh (Nayanyoshea mikono)
[Refrain]
Hunifanya mimi niwe ng'aring'ari
Sio rahisi, sio rahisi
Ninampenda yeye, ye anapenda wali
Navyohisi, navyohisi
[Verse]
Ama unadhani sina hisia
Mambo mangapi tumepitia
Nakusamehe unarudia
Yamenishinda mi najihoji
[Pre-Chorus]
Unavyotaka nataka I don't care
Vile utavyokuja ndo ntavyokukopea
Mapenzi kamari mchezo wa pata potea
Kosa ufanye wewe mi ndo najitetea
[Chorus]
Mapenzi haya (Nainama)
Ooh (Nainuka)
Ooh (Nayanyoshea mikono)
Mapenzi haya (Nainama)
Ooh (Nainuka)
Ooh (Nayanyoshea mikono)
[Refrain]
Hunifanya mimi niwe ng'aring'ari
Sio rahisi, sio rahisi
Ninampenda yeye, ye anapenda wali
Navyohisi, navyohisi