Comments (0)
š By commenting, you agree to follow these rules. Letās keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!
Hanipendi Lyrics
Hivi unavyo nifanyia naomba visijirudi kwako
Maana mi naupenda moyo wako
Nime muonaaa dah.. ume mpost mtuā
wako
Mnaendanaā
sanaa na mimiā
sio type yakoo
Nateswa na baridi silaliiā
na weweseka
Kulikosa penzi lako dosari na dhalilika
Wakunipendeza amekuwa dhohari nyinyiānataabika
Zileānjoziāsizipati nzuri
Ooohhhh
Hanipendi hanipendiāhanipendi
Hanitaki teena jamaniāhanipendi
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena hanipendi..
Kabadilika kawa mbogo instagramu ana post madongo
Kautupa moyo kwa korongo sioni kasha nipa chongo
Mapenzi swala la uwongo siamini nime chezeshwa sodo
Mwenzenu nime ukoka moto
Unaniunguza mwenyewee
Nateswa na baridi silalii na weweseka
Kulikosa penzi lako dosari na dhalilika
Wakunipendeza amekuwa dhohari nataabika
Zile njozi sizipati nzuri
Ooohhhh
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena jamani hanipendi
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena hanipendi