

G.I's Intro (feat. Edgar Manasseh)
Xenia Manasseh
0:00 0:00
- G.I's Intro (feat. Edgar Manasseh)
- Soul Lovers
- Late Night Check UpXenia Manasseh (feat. Shalom Dubas)
- SouthwardsXenia Manasseh (feat. Tay Iwar)
- AnticipateXenia Manasseh (feat. Karun)
- Temporary Love
- Cheza Chini
- Lowkey
- Niambie
- Precious
- Love/Hate
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!
Love/Hate Lyrics
[Verse 1]
Nakumbuka lawaridi
Na mlangi-langi
Kumbe ua la mkadi
Lishapapatuwa
[Verse 2]
Siendi mbali nitarudi
Ili upate kujuwa
Kweli mimi nakupenda
Malimwengu yanisonga
Yanisonga
Malimwengu yanisonga
[Verse 3]
Nitakujengea nyumba, moyo upate tuwa
Nikupe zizi la ng'ombe
Na mbuzi unywe maziwa
Nimekadiria chanda
Na pete nitakufulia
Kweli mimi nakupenda
Malimwengu yanisonga
Yanisonga
Malimwengu yanisonga