

Baba Jeni
Maua Sama
- I Don't Care
- Miayo
- Nitampata WapiMaua Sama (feat. Jay Melody)
- Feelings
- Online
- Zamani
- Keep Quiet
- Cheat
- Kiss Me
- Mr. DJ
- Yamenizidi
- Pambe
- Shukurani
- Baba JeniMaua Sama (feat. Nay Wa Mitego)
- Baba Jeni
- AwayMaua Sama (feat. Young Lunya)
- Zai
- ChuchumaaMaua Sama (feat. Nyoshi El Saadat)
- Kan Dance
- Tomorrow
- Namwachia
- Never Ever
- Vimba
- Nimeridhia
- Niteke
- Let Them Know
- Sisikii
- Nakuelewa
- Main Chick
- Katu Katu
- Mahaba Niue
- BounceVanessa Mdee (feat. Maua Sama, Tommy Flava)
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!
Bounce Lyrics
[Verse]
Hivi we hufikiri hufikiri
Kuwa nawe siwezi
Kweli siwezi
Kukupa moyo
Eti tuwe wawili wawili
Hizo share siwezi
Kwenye mapenzi utaniumiza moyo
Kwanza unanionaje
Pisi kali yakwenda
Tena nina jina mimi
Nakuhifadhi unavimba, unavimba
[Pre-Chorus]
Tena we na mashemeji
Akili kisoda aah kisoda
Niwe nawe wa nini
Hunifikishi Kigoma
[Chorus]
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
[Verse]
Kwako nilijikwaa
Kimapenzi nilikusitiri tu mwenzangu
Basi show ata ungeweza
Ila nilituliza tu kamoyo kangu
Kebehi na gubu
Sina raha roho juu juu
Baba utaniua kibudu
Bora nidisappear
Ey umesema ndo nanona
Aloniteka amesoma
Master ya mapenzi
Sio Diploma ananipa mie
[Pre-Chorus]
Tena we na mashemeji
Akili kisoda aah kisoda
Niwe nawe wa nini
Hunifikishi Kigoma
[Chorus]
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Bye bye, bye bye
Bye bye, bye bye